Ajali ya Meli kwenye mto Ubangi kaskazini magharibi mwa DRC | Masuala ya Jamii | DW | 25.07.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Ajali ya Meli kwenye mto Ubangi kaskazini magharibi mwa DRC

Watu 42 wamekufa maji na wengine zaidi ya mia moja hawajulikani walipo kufuatia ajali ya Meli kwenye mto Ubangi kaskazini magaharibi mwa DRC.Meli hiyo iliokuwa ikitokea nchini Afrika ya kati ilikuwa na abiria 182 raia wa DRC na wa Jamhuri ya Afrika ya kati.Ajali hiyo inatokea siku mbili baada ya nyingine iliotokea kwenye ziwa Tanganyika mashariki mwa DRC.


Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.
Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com