1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Agathon Rwasa azungumzia siasa za Burundi

Sudi Mnette13 Aprili 2021

Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Burundi Agathon Rwasa amezungumza na Sudi Mnette kwenye makala ya Kinagaubaga na kwa kina wamejadili hali ya mambo nchini humo baada ya kipindi cha ukimya mrefu katika masuala ya siasa. Sikiliza hapa

https://p.dw.com/p/3rw9D