Afya yako i kiganjani mwako | Media Center | DW | 24.02.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Afya yako i kiganjani mwako

Mitandao ya kijamii inavuuka mipaka yake ya awali ya kuwa majukwaa ya kusalimiana na sasa ni taasisi za kila jambo, zikiwemo huduma za matibabu na ushauri wa masuala ya afya kama ulivyo mfano huu wa Dokta Sajjad Fazel wa Dar es Salaam, Tanzania, ambaye anatumia mitandao hiyo kuendesha kampeni dhidi ya maradhi yasiyo ya kuambukiza.

Sikiliza sauti 09:45
Sasa moja kwa moja
dakika (0)