Afrika yaungana katika vita dhidi ya kuangamia kwa tembo | Masuala ya Jamii | DW | 29.04.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Afrika yaungana katika vita dhidi ya kuangamia kwa tembo

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema nchi yake itaongoza juhudi za kupiga marufuku biashara ya bidhaa zitokanazo na wanyamapori. Ameyasema hayo katika mkutano wa kilele uliyohudhuriwa na viongozi wa Afrika.

Sikiliza sauti 02:33
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Sikiliza ripoti ya Alfred Kiti

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com