1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika Wiki Hii

Amina Mjahid
25 Machi 2023

Afrika Wiki Hii inaangazia, maandamano ya kupinga ongezeko la gharama ya maisha nchini Kenya. Tutaimulika pia Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kulikofanyika mabadiliko ya baraza la mawaziri na mjadala waibuka Tanzania baada ya taifa hilo la Afrika Mashariki, kutoa msaada wa kifedha kwa Uturuki. Mtayarishaji ni Amina Abubakar.

https://p.dw.com/p/4PBkZ