1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika Wiki Hii: Mabaki ya Lumumba yazikwa Kinshasa

Josephat Charo
1 Julai 2022

Mabaki ya waziri mkuu wa kwanza wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Patrice Lumuba yazikwa mjini Kinshasa. Rwanda na Burundi zaadhimisha miaka 60 ya uhuru. Huko nchini Tanzania Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia Nape Nnauye awataka wadau katika sekta ya habari ya nchi hiyo waandike habari za uchunguzi. Jiunge na Josephat Charo katika Afrika Wiki Hii.

https://p.dw.com/p/4DY2q