Afrika Kusini: Sihle Tshabalala | Afrika yasonga mbele | DW | 08.12.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Afrika yasonga mbele

Afrika Kusini: Sihle Tshabalala

Alifungwa miaka 11 gerezani baada kupatikana na kosa la ukabaji. Wakati akitumikia kifungo chake gerezani alijifunza mafunzo ya kompyuta. Baadae akaanza kuwafunza wafungwa wenzake na kuendelea baada ya kutoka gerezani.

Tazama vidio 03:03

SA: Sihle Tshabalala - from convict to change maker

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com