Afrika kupewa msaada wa kulinda mazingira | Tabia ya Nchi | DW | 02.12.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Tabia ya Nchi

Afrika kupewa msaada wa kulinda mazingira

Nchi tajiri zimeahidi kuipatia Afrika fedha ili iweze kuendeleza nishati mbadala kwa nia ya kulinda tabia ya nchi. Hayo ni katika mkutano wa tabia ya nchi unaofanyika Paris, Ufaransa.

Sikiliza sauti 02:31

Sikiliza ripoti ya Saleh Mwanamilongo kutoka Paris

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com