Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Tegea sikio usikie mada za Afrika kama zilivyoangaziwa katika magazeti ya Ujerumani. Ikiwa ni pamoja na hali ya nchini Uganda baada ya uchaguzi. Hali katika jimbo Tigray nchini Ethiopia na mengineyo.
Tuma Facebook Twitter Whatsapp Web EMail Telegram Facebook Messenger Web
Kiungo https://p.dw.com/p/3oHLc
Gazeti la die tageszeitung limeandika juu ya mpango wa dharura uliotangazwa na rais mpya wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Felix Tshisekedi anaokusudia kuutekeleza katika siku mia moja za kwanza za muhula wake.