1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika katika magazeti ya Ujerumani

Saumu Ramadhani Yusuf4 Desemba 2020

Yaliyoandikwa kwenye magazeti ya Ujerumani juu ya Afrika wiki hii ni kuhusu mgogoro wa Ethiopia, suala la athari za janga la virusi vya Corona katika hali ya uchumi wa nchi za bara hilo. Karibu uyasikie kwa kina yaliyomulikwa na wahariri wa hapa Ujerumani.

https://p.dw.com/p/3mFLi