1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika Katika Magazeti ya Ujerumani wiki hii

Daniel Gakuba
2 Novemba 2018

Mkutano kati ya Kansela wa Ujerumani Angela Merkel na viongozi wa kiafrika, vifo vinavyotokana na maradhi ya Ebola DR Kongo na kuchaguliwa kwa rais mwanamke Ethiopia ni miongoni mwa yaliyomo katika magazeti ya Ujerumani.

https://p.dw.com/p/37Yqq
Deutschland Afrika-Gipfel bei Bundeskanzlerin Angela Merkel
Picha: Reuters/A. Schmidt

 Afrika Katika Magazeti ya Ujerumani.