1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika imejiandaa vipi kukabili miripuko kama corona?

Saumu Ramadhani Yusuf31 Januari 2020

Watu wengi barani Afrika wanajiuliza je nchi zao ziko tayari kiasi gani kukabiliana na magonjwa ya mripuko kama virusi vya corona pindi yanapoingia? Umma unazo taarifa za kutosha kuchukuwa tahadhari ? Sikiliza kipindi cha maoni.

https://p.dw.com/p/3X4df