AfD watumia kampeni kuimarisha upinzani dhidi ya wageni | Uchaguzi wa Ujerumani 2017 | DW | 13.09.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Ujerumani Yaamua

AfD watumia kampeni kuimarisha upinzani dhidi ya wageni

Timu ya Idhaa za Kiafrika za DW inazunguka mashariki mwa Ujerumani kabla ya uchaguzi wa tarehe 24 Septemba kushuhudia kampeni za vyama vingine na leo imekumbana na maandamano ya chama cha mrengo mkali wa kulia, Mbadala kwa Ujerumani (AfD), katika mji Magdeburg. Daniel Gakuba anaelezea tofauti kati ya AfD na vyama vingine.

Sikiliza sauti 02:49