Adama Barrow atangazwa mshindi wa urais Gambia | Media Center | DW | 02.12.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Adama Barrow atangazwa mshindi wa urais Gambia

Kiongozi wa upinzani nchini Gambia, Adama Barrow ametangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon aomba radhi kwa Umoja huo kusambaza ugonjwa wa kipindupindu nchini Haiti na rais wa Ufaransa Francois Hollande atangaza kutowania muhula wa pili. Papo kwa Papo 02.12.2016

Tazama vidio 01:47