1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

ACCRA: Rais wa Ujerumani, Horst Koehler, atarajiwa kutemebelea Ghana.

11 Januari 2007
https://p.dw.com/p/CCbm

Rais wa Ujerumani, Horst Köhler, leo anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya siku nne nchini Ghana.

Rais Horst Köhler amepangiwa kukutana na maafisa kadha wa Ghana, akiwemo Rais John Kuffuor.

Rais huyo wa Ujerumani atahudhuria kongamano la pili la mkakati alioanzisha yeye wa ushirikiano na nchi za Afrika litakaloofunguliwa mjini Accra kesho.