ABUJA: Mfanya maandamano apigwa risasi na polisi | Habari za Ulimwengu | DW | 14.10.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

ABUJA: Mfanya maandamano apigwa risasi na polisi

Polisi nchini Nigeria wamempiga risasi na kumuua mwaandamanaji mmoja katika maandamano yaliofanywa Jos,mji mkuu wa jimbo la Plateau.Polisi walifyatua risasi kuutawanya umati uliokuwa ukipinga hatua ya kutaka kumshtaki gavana wa jimbo hilo kutumia vibaya madaraka.Mashahidi wamesema,waandamanaji hao baadae walikusanyika upya na wakalitia moto jengo moja.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com