1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Abdul Nondo afikishwa mahakamani

21 Machi 2018

Mahakama kuu ya Tanzania imesikiliza kesi ya mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam na mwenyekiti wa mtandao wa wanafunzi Abdul Nondo ambaye anashutumiwa "kujiteka nyara" ili kupata umaarufu.

https://p.dw.com/p/2uhmp
Abdul Nondo
Picha: DW/Eric Boniphace