A2 | Radio D Mifululizo 2 | Radio D | DW | 26.08.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Radio D

A2 | Radio D Mifululizo 2

Visa vipya kwa maripota wa Redio D: Katika kozi hii ya lugha kwa njia ya sauti, Paula na Philipp wanachunguza matukio nchini Ujerumani. Miongoni mwake ni mashambulio ya siri ya leza mjini Jena na pia wanachunguza yaliojiri katika eneo la ukuta wa Berlin. Sehemu ya pili ya kozi hii ya lugha inashughulikia ngazi ya A2 ya mfumo wa Ulaya wa mrejeo kwa lugha.

Ngazi: A2
Njia: Sauti, Maandishi (Pakuwa)
Lugha: Kijerumani | Kiingereza