A1 | Radio D Mifululizo 1 | Radio D | DW | 17.02.2010
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Radio D

A1 | Radio D Mifululizo 1

Katika kozi hii ya lugha ya sauti unaungana na maripotia Paula na Philipp kwenye ziara ya Neuschwanstein Castle, ambapo utakutana na King Ludwig maarufu. Wakiripoti kutoka Hamburg, wawili hao wanazungumzia papa katika bandari na wachawi wanaokutana nao kwenye kanivali. Sehemu ya kwanza ya kozi inaangazi kiwango cha A1 ndani ya Mfumo Maarufu wa Ulaya wa Marejeleo ya Lugha (Common European Framework of Reference for Languages).

Viwango: A1
Midia: Sauti, Maandishi (Pakua)
Lugha: Kijerumani | Kiswahili