A1 | Mission Europe | Mission Europe | DW | 05.12.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mission Europe

A1 | Mission Europe

Matukio ya kusisimua ya kujifunza lugha! Mission Europe inatoa kozi ya utangulizi wa kiwango cha A1 ya Kijerumani, Kifaransa na Kipoli ndani ya Mfumo Maarufu wa Ulaya wa Marejeleo ya Lugha (Common European Framework of Reference for Languages). Kama katika mchezo wa kompyuta, unaweza kuenda kutalii Ufaransa, Polandi na Ujerumani na mashujaa wa kike na kujifunza ufahamu wako wa kusikiliza.

Viwango: A1
Midia: Sauti, Maandishi (Pakua)
Lugha: Kijerumani | Kiswahili