1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

31.08.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S31 Agosti 2020

Rwanda: Mkosoaji wa serikali ya Rwanda Paul Rusesabagina akamatwa/ Kampeni za chama cha upinzani nchini Tanzania/ Mwanadiplomasia wa Lebanon Mustapha Adib amechaguliwa kuwa waziri mkuu mpya, na kupewa jukumu la kuunda serikali mpya/ Kenya: Kupanda kwa viwango vya maji kwenye maziwa yaliyoko eneo la bonde la ufa kumewaacha maelfu ya watu bila makao

https://p.dw.com/p/3hpHQ