1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

31.07.2021 Matangazo ya Jioni

Sudi Mnette
31 Julai 2021

Mamia ya raia wa Malaysia wafanya maandamano ya kushinikiza waziri mkuu wa taifa hilo, Muhyiddin Yassin ajiuzulu. Pamoja na marufuku ya kukabiliana na virusi vya corona wameonekana mitaani wakiwa wamevalia mavazi meusi.

https://p.dw.com/p/3yNDS