1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

31.05.2020 - Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S31 Mei 2020

Maandamano ya kupinga ukatili wa polisi yanaendelea nchini Marekani licha ya kitisho kutoka kwa rais Donald Trump. Saudi Arabia yaruhusu misikiti kufunguliwa chini ya kanuni kali za kuzuia kusambaa virusi vya corona. Watu sita wameuwawa mjini Mogadishu baada ya gari la abiria kukanyaga bomu.

https://p.dw.com/p/3d412