1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

31.03.2021 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S31 Machi 2021

Makamu wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Philip Mpango anatarajiwa kuapishwa leo Jumatano// Wakristo kote ulimwenguni wapo katika kipindi cha juma kuu ambalo huanza kuadhimishwa siku ya jumapili ya matawi// Wakaazi wa mji wa Hong Kong wanatajwa kuhamisha mabilioni ya dola kutoka sehemu mbali mbali za dunia na kuzihamishia Canada ambako wengi wanatarajia kuanzisha maisha mapya.

https://p.dw.com/p/3rPt9