1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

30.11.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S30 Novemba 2020

Kauli ya Dkt. Bashiru Ally ya kuwakaribisha wanawake kutoka vyama vya upinzani kujiunga na CCM, imezua mjadala mpana nchini Tanzania/ Human Rights Watch: Mamlaka za Tanzania zimewatesa kwa kiwango cha kutisha wakimbizi na waomba hifadhi wasiopungua 18 kutoka nchi jirani ya Burundi/ Museveni na Bobi Wine walaumiana kuhusu vifo vya raia/ WHO: Mapambano ya malaria yanakwamishwa na COVID-19, fedha

https://p.dw.com/p/3m0MU