1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

30.07.2002 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi

V2 / S12S30 Julai 2020

Spika wa Bunge la Marekani ametangaza amri inayowataka wabunge wote kuvaa barakoa. Rais wa zamani wa Tanzania aliyefariki wiki iliyopita amezikwa katika kijiji alikozaliwa. Rais wa Belarus ameituhumu Urusi kwa kuratibu njama za kuvuruga uchaguzi.

https://p.dw.com/p/3g8o2