1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

30.06.2017 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S30 Juni 2017

Bunge la Ujerumani limepiga kura kwa wingi kuruhusu ndoa za jinsia moja//Vijana nchini Uganda wamelezea ushindi wa msanii Robert Kyagulanyi maarufu kwa jina la Bobi Wine kwa kiti cha ubunge kuwa mwamko mpya kwao katika tasnia ya siasa// Mkutano mkuu wa chama tawala nchini Afrika Kusini cha African National Congress, ANC unaanza leo.

https://p.dw.com/p/2fgzH