1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

30.05.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S30 Mei 2019

Waziri wa mambo ya nje wa Saudi Arabia, Ibrahim al-Assaf ameyataka mataifa ya Kiislamu kukabiliana kwa nguvu zote na aina zote za mashambulizi ya hivi karibuni katika Ghuba ya Uajemi//Mwili wa aliyekuwa kinara wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Etienne Tshisekedi unatarajiwa kuwasili usiku wa leo mjini Kinshasa

https://p.dw.com/p/3JVoO