1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

30.04.2021 Matangazo ya Mchana

TSA / S08S30 Aprili 2021

Rais Samia Suluhu Hassan amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Chama tawala nchini Tanzania, CCM, katika mkutano mkuu maalumu// Rais wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amewatumia risala wanafunzi waliopiga kambi kwenye ofisi ya Meya wa Beni na kuwaomba warudi manyumbani// Kenya itazifunga kambi za wakimbizi za Kakuma na Daadab, ifikapo mwezi Juni mwaka ujao.

https://p.dw.com/p/3snGj