1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

30.04.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S30 Aprili 2019

Baraza la kijeshi la kipindi cha mpito nchini Sudan limesema halitavumilia ghasia nchini humo, siku moja baada ya waandamanaji kusema kwamba wanajeshi wanajaribu kuwatawanya kutoka mjini Khartoum// Serikali ya Rwanda imesema imemkamata Nsabimana Callixte aliyejulikana kwa jina la meja Sankara ambaye alikuwa ni msemaji muungano wa makundi yanayopambana kuuangusha utawala wa Rais Paul Kagame.

https://p.dw.com/p/3HijS