1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

30.01.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S30 Januari 2020

Usiku wa Ijumaa ya Januari 31 waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson atakuwa kwenye nafasi ya kujitapa kuwa amefanikiwa kuindoa nchi yake kutoka Umoja wa Ulaya// Mwanaharakati wa mazingira kutoka Uganda, Vanessa Nakate amesema Afrika iko mstari wa mbele katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi// Vijana wengi wa Kiafrika wana ndoto ya kupata elimu ya juu.

https://p.dw.com/p/3X0ZN