1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.11.2022 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S29 Novemba 2022

Wimbi la uhalifu nchini Uganda ambapo watu wasiojulikana huvamia vituo vya polisi na kuwapokonya askari bunduki limeleta hofu na mashaka miongoni mwa raia+++Jumuiya ya kujihami ya NATO inakutana leo Jumanne mjini Bucharest+++Korea Kaskazini imefanya majaribio mengi ya makombora ya masafa marefu ambayo hayajawahi kushuhudiwa mwaka huu wa 2022.

https://p.dw.com/p/4KDRg