29.09.2021 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 29.09.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

29.09.2021 Matangazo ya Asubuhi

Wajerumani wanasubiri kwa hamu kujua ni chama gani kitakachounda serikali ijayo ya muungano/ Ufaransa na Ugiriki zilitangaza makubaliano ya kijeshi/ Kaskazini mwa Msumbiji: Rwanda inapanua ushawishi wake kisiasa, kijeshi na kijasusi katika eneo hil/ Burundi: Baraza la seneti linatiwa wasiwasi na ongenzeko la idadi ya wasichana wanaoacha shule kutokana na kupata ujauzito au kuolewa mapema

Sikiliza sauti 52:00