1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.09.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S29 Septemba 2020

Mgombea wa urais wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema, Tundu Lissu amesema hatajitokeza leo mbele ya kamati ya maadili ya tume ya taifa ya uchaguzi// Mkurugenzi wa uchaguzi Tanzania asema anatishiwa// Kenyatta arefusha muda wa vizuizi kwa siku 60// Azerbaijan yatangaza kuuwawa kwa raia wake 10 kutokana na mapigano.

https://p.dw.com/p/3j9dt