1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.08.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S28 Agosti 2019

Malkia wa Uaingereza Elizabeth wa pili ameidhinisha ombi la waziri mkuu Boris Johnson kusitisha kwa muda bunge kuanzia katikati ya mwezi Septemba hadi katikati ya Otoba, kabla nchi hiyo kujitoa kutoka Umoja wa Ulaya// Hali ya kiasa nchini Italia inazidi kutokota huku nchi hiyo ikitarajiwa kuwa na waziri mkuu mpya wakati wowote kutoka sasa.

https://p.dw.com/p/3OeGw