29.07.2020 - Matangazo ya Asubuhi | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 29.07.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

29.07.2020 - Matangazo ya Asubuhi

Ibada ya dini ya kiislamu ya Hijja inaanza leo chini kiwingu cha viruis vya corona. Rais wa zamani wa Tanzania Benjamin Mkapa aliyeaga dunia wiki iliyopita atazikwa leo. Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kwa Yemen ameonya mazungumzo ya amani yanaweza kuvunjika

Sikiliza sauti 51:59