29.06.2018 Matangazo ya mchana | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 29.06.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

29.06.2018 Matangazo ya mchana

Viongozi wa Umoja wa Ulaya hatimaye wamefikia makubaliano juu ya mpango mgumu wa uhamiaji// Shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO, limelijumuisha Ziwa Turkana nchini Kenya katika orodha ya turathi za dunia zilizo hatarini.

Sikiliza sauti 60:00