1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.01.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S29 Januari 2020

Tunaanzia nchini Marekani ambapo Rais Donald ametangaza mpango wake wa amani ya Mashariki ya Kati kati ya Isreal na Wapalestina, uliosubiriwa kwa muda mrefu// Wakati mripuko wa virusi vya SARS ulipoikumba China mwaka 2002- 2003, serikali mjini Beijing ilitumia mbinu za usiri na kuzuia taarifa kama mkakati wa kupambana na hatari hiyo ya kiafya.

https://p.dw.com/p/3WxDU