1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.01.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S29 Januari 2019

Shirika la kimataifa la Transparency International limetoa ripoti mpya inayoangazia rushwa katika viwango vya kimataifa// Iran imepuuza mbali wito kutoka kwa Marekani na Umoja wa Ulaya kusitisha mpango wake wa kutengeza makombora// Marekani imeiwekea Venezuela vikwazo vipya vya kiuchumi// Wakfu maarufu wa Fulbright wa Marekani umemtunukia kansela Angela Merkel tuzo ya Fulbright kwa mwaka 2018.

https://p.dw.com/p/3CN66