1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.11.2021 Matangazo ya Jioni

Sudi Mnette
28 Novemba 2021

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kujihami (NATO), Jens Stoltenberg, ameonya kuwa mzozo wa wahamiaji katika mpaka wa mashariki mwa Umoja wa Ulaya bado haujakwisha, katika wakati ambapo wakimbizi kutokea Belarus wanajaribu kuingia katika eneo hilo kinyume cha sheria.

https://p.dw.com/p/43b0R