1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.10.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S28 Oktoba 2019

Urusi inasifu kuuliwa kiongozi wa kundi la magaidi la IS, hata hivyo viongozi wa dunia wanaonya mapambano dhidi ya kundi hilo la magaidi bado hayajamalizika/ Raia wa Lebanon wameendelea kuandamana hii leo dhidi ya rushwa na kutaka mabadiliko ya mfumo wa kisiasa nchini/ Umoja wa Ulaya umekubaliana kusogeza mbele muda wa Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya hadi Januari 31 mwaka 2020

https://p.dw.com/p/3S6US