1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.10.2015 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S28 Oktoba 2015

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ametangaza kufutilia mbali matokeo ya uchaguzi visiwani humo na kutaka urejewe upya/ Katibu Mkuu wa CUF amewatolea wito wananchi kuwa watulivu pia akisema hautambui uamuzi huo wa kuyafuta matokeo/ Edward Lowassa asema hatokubali matokeo ya uchaguzi wa urais yanayoendelea kutolewa na tume ya uchaguzi nchini Tanzania NEC

https://p.dw.com/p/1GwAX