1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.08.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S28 Agosti 2018

Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May ametangaza mipango ya kuongeza vitega uchumi barani Afrika baada ya nchi yake kujiondoa kwenye Umoja wa Ulaya.Waziri Mkuu huyo ametoa ahadi hiyo nchini Afrika Kusini, ambayo ni kituo cha kwanza cha ziara yake ya barani Afrika ilioanza hii leo.

https://p.dw.com/p/33uOs