28.07.2020 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 28.07.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

28.07.2020 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi

Rais wa Mali ametangaza mipango ya kuunda serikali itakayojumuisha upande wa upinzani. Korea Kaskazini imesema silaha zake za nyuklia zinatoa ulinzi dhidi ya kitisho kutoka nje. Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu arejea nyumbani kutoka Ubelgiji

Sikiliza sauti 08:00