1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.06.2021 Taarifa ya Habari ya Asubuhi

Sudi Mnette
28 Juni 2021

Shirika la Uangalizi wa Haki za Binaadamu la nchini Syria, lenye maskani yake mjini London, Uingereza limesema mashambulizi ya anga ya Marekani katika eneo la mpakani mwa Syria na Iraq yamewauwa wanamgambo watano.

https://p.dw.com/p/3veqo