1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.06.2020 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi

V2 / S12S28 Juni 2020

Kiongozi wa upinzani nchini Malawi ameshinda uchaguzi wa rais uliofanyika siku ya Jumanne. Makamu wa rais wa Marekani amefuta mikutano ya kampeni kutokana na kitisho cha virusi vya corona. Bayern Munich imenyakua ubingwa wa ligi kuu ya kandanda nchini Ujerumani.

https://p.dw.com/p/3eRgx