1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.06.2015. Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S28 Juni 2015

Miongoni mwa taarifa ni pamoja na : Benki kuu ya Ulaya unatarajiwa kuitisha mkutano wa dharura leo hii kujadili hofu iliyotanda nchini Ugiriki, kuhusu hatima ya benki zake.// Maafisa nchini Ufaransa wamemkamata mtuhumiwa wa mauwaji yaliyotokea Ijumaa iliyopita kwenye kiwanda kimoja mjini Lyon.

https://p.dw.com/p/1Foc0