28.05.2021 Matangazo ya Mchana | Media Center | DW | 28.05.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

28.05.2021 Matangazo ya Mchana

DR Congo- Mji wa Goma umebaki bila watu baada ya wakaazi kukimbia kufuatia onyo kuwa volkano ya Mlima Nyiragongo huenda ikaripuka tena+++Ujerumani yakubali kuyatambua mauaji ya kimbari ya Namibia+++Somalia yakubaliana kuhusu uchaguzi+++Leo tarehe 28 mwezi Mei, dunia inaadhimisha siku ya hedhi safi na salama chini ya kauli mbiu ya “Utendaji na uwekezaji katika hedhi safi na afya kwa jumla''

Sikiliza sauti 60:00