1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.04.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S28 Aprili 2020

USA-Trump ataka shule za umma kufunguliwa// Wizara ya Afya visiwani Zanzibar leo imetangaza wagonjwa wapya saba wa virusi vya corona// Mazingira ya kazi kwa wanaharakati Tanzania ni magumu, HRW// Serikali ya Tanzania kupitia shirika lake la Maendeleo ya Petroli, TPDC, imetoa kiasi cha shilingi Bilioni 5.2 kwa ajili ya kuwafidia wananchi zaidi ya 600// Zogo yaendelea kuigubika Libya.

https://p.dw.com/p/3bWUh