1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.04.2018 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S27 Aprili 2018

Rais Donald Trump wa Marekani ameyasifu mazungumzo kati ya kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un na rais wa Korea Kusini Moon Jae-in// Mo Ibrahim ambaye amekuwa akitoa tuzo ya uongozi bora kwa viongozi wastaafu barani Afrika amesema bara hilo linakabiliwa na uongozi usiozingatia maslahi ya raia walio wengi.

https://p.dw.com/p/2woZ9